Jolly Tumuhirwe (22).
HOUSE GIRL aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.
Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
0 comments:
Post a Comment