MZEE MANENTO WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA

Mzee Manento enzi za uhai wake.
MSANII wa filamu za Kibongo, Mzee Manento amefariki dunia jana jioni akiwa jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Mzee Manento alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo na mpaka mauti yanamfika alikuwa amelazwa katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Mzee Manento atakumbukwa katika filamu alizocheza kama 'Hero of the Church', 'Dar to Lagos', 'Fake…
Mzee Manento enzi za uhai wake.
MSANII wa filamu za Kibongo, Mzee Manento amefariki dunia jana jioni akiwa jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Mzee Manento alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo na mpaka mauti yanamfika alikuwa amelazwa katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Mzee Manento atakumbukwa katika filamu alizocheza kama 'Hero of the Church', 'Dar to Lagos', 'Fake Pastor' na nyinginezo. Ndugu, jamaa na marafiki kwa sasa wamekutana nyumbani kwa marehemu huko Kigogo, Dar kujadiliana kuhusu taratibu za mazishi.
Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi. AMEEN
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment