Vanessa Mdee ameshiriki kuongoza video ya Jux ‘Nikuite Nani’



Vanessa Mdee ana vipaji vingi. Hivi karibuni alishiriki kuongoza (co-direct) video ya wimbo wake mwenyewe, Hawajui na huenda ni kitu anachofurahia kukifanya kwa sasa.
4X7A9870-2
Vee Money ameshirikiana na muongozaji Hanscana kuongoza video ya wimbo wa Jux, Nikuite Nani iliyofanyika kwenye fukwe za bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.
11033039_923556521011261_1972036436_n
4X7A9979
Mrembo Maggie Vampire ndiye aliyetumika kwenye video hiyo
10955248_614481332019066_1228316225_n
Maggie Vampire
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment