Baada ya akaunti ya Yemi Alade kuwa hacked safari hii imemtokea WIZKID.

Imekuwa kama mchezo baada ya wasanii mbalimbali duniani kuendelea kulalamikia akaunti zao kutekwa ‘kuhack’ na watu kadri siku zinavyokwenda.
 
Kutoka Nigeria wiki chache baada ya akaunti ya Instagram ya staa Yemi Alade kuvamiwa na watu sasa ni zamu ya Wizkid ambaye naye ameingia kwenye listi ya mastaa waliotapeliwa akaunti zao na miongoni mwa mashabiki wao.
 
Wizkid alitoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter akiwataka mashabiki wake kudharau ujumbe wowote watakaopokea kupitia email yake baada ya watu kuhack.

Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment