Fid Q,adondosha video yake mpya ya bongo hiphop

Fid Q bongo hiphop
Fid Q bongo hiphopHiphop ya bongo 2015 imepata headlines nyingine tena na sasa ni zamu ya Fid Q rapper alieweka wazi kwamba video yake mpya ya bongo hiphop iliyofanywa na Nisher hata yeye alikua na kiu ya kuiona kama ilivyo kwa mashabiki wake, itazame hapa chini alafu usiache kutuandikia comment ili Fid akipita hapa usiku asome watu wake walichomuandikia.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment