‘Woju’ single nyingine ya Kiss Daniel ndani kashirikishwa Tiwa Savage na Davido…

remix 
Kiss Daniel amewashirikisha mastaa wa Nigeria Tiwa Savage na Davido katika single yake mpya inayoitwa “Woju”.
Jina la nyimbo hiyo Woju ni ya kabila la Yoruba akimaanisha ‘Check out the face‘.
Nakukaribisha hapa kuisikiliza.. HAPA 
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment