video mpya nyingine kutoka Nigeria, OLAMIDE – ‘Falila Ketan’


PPPPPOOO 

Skelembo ni moja ya ngoma kali iliyomtambulisha vizuri Olamide kwenye muziki Afrika, kwenye hiyo boss wa Mavins record kutoka Nigeria Don Jazzy, alipewa collabo.
Olamide karudi tena yani, ameachia kichupa kingine kutoka kwenye album yake mpya ya ‘Street OT’, wimbo unaitwa ‘Falila Ketan’.
Video Queen kwenye huu wimbo ni muigizaji Eniola Badmus kutoka Naija,unaweza kuicheki hapa.. Bonyeza play.

Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment