Kampuni ya Apple imezindua saa ya
kisasa ambayo inauwezo wa kupiga simu,kupokea barua pepe,kucheza muziki
na kufuatilia masuala ya afya na mazoezi.
Sasa hiyo kutoka kampuni ya Apple ya kimichezo kwa zile ndogo zina milimita thelathini na nane itauzwa kwa dola 349 na saa kubwa itauzwa kwa dola 549 na bidhaa ya mwisho itauzwa kwa dola elfu kumi ,hii ni kwa muujibu wa Afisa mtendaji wa kampuni hiyo , Tim Cook said mapema wiki hii.
0 comments:
Post a Comment