VIONGOZI WATANO WA UMOJA WA WAHITIMU WA WANA JKT WATIWA MBARONI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar-es-salaam linawashikilia viongozi watano wanaounda umoja wa kikundi cha wahitimu wa mafunzo ya kijeshi ya Jeshi La Kujenga Taifa (JKT) baada ya vijana wa umoja huo kutaka kuandamana kukutana na viongozi wa juu wa Serikali hivi karibuni kuzungumzia kilio chao na kupinga upendeleo wa ajira ndani ya Jeshi.
0 comments:
Post a Comment