Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya M. Kikwete
Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo umri, afya na nyinginezo ni hawa hapa;
- James Kisota Ole Millya- Longido
- Elias Wawa Lali- Ngorongoro
- Alfred Ernest Msovella- Kongwa
- Dany Beatus Makanga- Kasulu
- Fatma Losindilo Kimario- Kisarawe
- Elibariki Emanuel Kingu- Igunga
- Dr. Leticia Moses Warioba- Iringa
- 8. Evarista Njilokiro Kalalu- Mufindi
- Abihudi Msimedi Saideya- Momba
- Martha Jachi Umbula- Kiteto
- 11 Khalid Juma Mandia- Babati
- 12 Eliasi Goroi Boe Boe Goroi – Rorya
Wakuu wa Wilaya walioteuliwa;
- Mariam Ramadhani Mtima- Ruangwa
- Dkt. Jasmine B. Tiisike- Mpwapwa
- Pololeti Mgema- Nachingwea
- Fadhili Nkurlu- Misenyi
- Felix Jackson Lyaniva- Rorya
- Fredrick Wilfred Mwakalebela- Wanging’ombe
- Zainab Rajab Mbussi- Rungwe
- Francis K. Mwonga- Bahi
- Col. Kimiang’ombe Samwel Nzoka- Kiteto
- Husna Rajab Msangi- Handeni
- Emmanuel Jumanne Uhaula- Tandahimba
- Mboni Mhita- Mufindi
- Hashim S. Mngandilwa- Ngorongoro
- Mariam M. Juma- Lushoto
- Thea Medard Ntara- Kyela
- Ahmad H. Nammohe- Mbozi
- Shaban Kissu- Kondoa
- Zelote Stephen- Musoma
- Pili Moshi- Kwimba
- Mahmoud A. Kambona- Simanjiro
- Glorius Bernard Luoga- Tarime
- Zainab R. Telack- Sengerema
- Bernard Nduta- Masasi
- Zuhura Mustafa Ally- Uyui
- Paulo Makonda- Kinondoni
- Mwajuma Nyiruka- Misungwi
- Maftah Ally Mohamed- Serengeti
Wakuu wa Wilaya Waliobadilishwa vituo vya kazi
- Nyerembe Deusdedit Munasa- Ametoka Arumeru amehamishiwa Mbeya
- Jordan Mungire Obadia Rugimbana- Ametoka Kinondoni amehamishiwa Morogoro
- Fatma Salum Ally- Ametoka Chamwino amehamishiwa Mtwara
- Lephy Benjamini Gembe- Ametoka Dodoma Mjini amehamishiwa Kilombero
- Christopher Ryoba Kangoye- Ametoka Mpwapwa amehamishiwa Arusha
- Omar Shaban Kwaang’- Ametoka Kondoa amehamishiwa Karatu
- Francis Isack Mtinga- Ametoka Chemba amehamishiwa Muleba
- Elizabeth Chalamila Mkwasa- Ametoka Bahi amehamishiwa Dodoma
- Agnes Elias Hokororo (Mb)- Ametoka Ruangwa amehamishiwa Namtumbo
- Regina Reginald Chonjo- Ametoka Nachingwea amehamishiwa Pangani
- Husna Mwilima- Ametoka Mbogwe amehamishiwa Arumeru
- Gerald John Guninita- Ametoka Kilolo amehamishiwa Kasulu
- Zipporah Lyon Pangani- Ametoka Bukoba amehamishiwa Igunga
- Issa Suleimani Njiku- Ametoka Missenyi amehamishiwa Mlele
- Richard Mbeho- Ametoka Biharamulo amehamishiwa Momba
- Lembris Marangushi Kipuyo- Ametoka Muleba amehamishiwa Rombo
- Ramadhani Athuman Maneno- Ametoka Kigoma amehamishiwa Chemba
- Venance Methusalah Mwamoto- Ametoka Kibondo amehamishiwa Kaliua
- Gishuli Mbegesi Charles- Ametoka Buhigwe amehamishiwa Ikungi
- Novatus Makunga- Ametoka Hai amehamishiwa Moshi
- Anatory Kisazi Choya- Ametoka Mbulu amehamishiwa Ludewa
- Christine Solomoni Mndeme- Ametoka Hanang’ amehamishiwa Ulanga
- Jackson William Musome- Ametoka Musoma amehamishiwa Bukoba
- John Benedict Henjewele- Ametoka Tarime amehamishiwa Kilosa
- Norman Adamson Sigalla- Ametoka Mbeya amehamishiwa Songea
- Michael Yunia Kadeghe- Ametoka Mbozi amehamishiwa Mbulu
- Crispin Theobald Meela- Ametoka Rungwe amehamishiwa Babati
- Magreth Ester Malenga- Ametoka Kyela amehamishiwa Nyasa
- Said Ali Amanzi- Ametoka Morogoro amehamishiwa Singida
- Antony John Mtaka- Ametoka Mvomero amehamishiwa Hai
- Elias Choro John Tarimo- Ametoka Kilosa amehamishiwa Biharamulo
- Francis Cryspin Miti- Ametoka Ulanga amehamishiwa Hanang’
- Hassan Elias Masala- Ametoka Kilombero amehamishiwa Kibondo
- Angelina Lubalo Mabula- Ametoka Butiama amehamishiwa Iringa
- Farida Salum Mgomi- Ametoka Masasi amehamishiwa Chamwino
- Wilman Kapenjama Ndile- Ametoka Mtwara amehamishiwa Kalambo
- Ponsian Damiano Nyami- Ametoka Tandahimba amehamishiwa Bariadi
- Mariam Sefu Lugaila- Ametoka Misungwi amehamishiwa Mbogwe
- Mary Tesha Onesmo- Ametoka Ukerewe amehamishiwa Buhigwe
- Karen Kemilembe Yunus- Ametoka Sengerema amehamishiwa Magu
- Josephine Rabby Matiro- Ametoka Makete amehamishiwa Shinyanga
- Joseph Joseph Mkirikiti- Ametoka Songea amehamishiwa Ukerewe
- Abdula Suleiman Lutavi- Ametoka Namtumbo amehamishiwa Tanga
- Ernest Ng’wenda Kahindi- Ametoka Nyasa amehamishiwa Longido
- Anna Rose Ndayishima Nyamubi- Ametoka Shinyanga amehamishiwa Butiama
- Rosemary Kashindi Kirigini (Mb)- Ametoka Meatu amehamishiwa Maswa
- Abdallah Ali Kihato- Ametoka Maswa amehamishiwa Mkuranga
- Erasto Yohana Sima- Ametoka Bariadi amehamishiwa Meatu
- Queen Mwanshinga Mulozi- Ametoka Singida amehamishiwa Urambo
- Yahya Esmail Nawanda- Ametoka Iramba amehamishiwa Lindi
- Manju Salum Msambya- Ametoka Ikungi amehamishiwa Ilemela
- Saveli Mangasane Maketta- Ametoka Kaliua amehamishiwa Kigoma
- Bituni Abdulrahman Msangi- Ametoka Nzega amehamishiwa Kongwa
- Lucy Thomas Mayenga- Ametoka Uyui amehamishiwa Iramba
- Majid Hemed Mwanga- Ametoka Lushoto amehamishiwa Bagamoyo
- 56 Muhingo Rweyemamu- Ametoka Handeni amehamishiwa Makete
- 57 Hafsa Mahinya Mtasiwa- Ametoka Pangani amehamishiwa Korogwe
- 58 Dr. Nasoro Ali Hamidi- Ametoka Lindi amehamishiwa Mafia
- 59 Festo Shemu Kiswaga- Ametoka Nanyumbu amehamishiwa Mvomero
- 60 Sauda Salum Mtondoo- Ametoka Mafia amehamishiwa Nanyumbu
- 61 Seleman Mzee Seleman- Ametoka Kwimba amehamishiwa Kilolo
- 62 Esterina Julio Kilasi- Ametoka Wanging’o mbe amehamishiwa Muheza
- 63 Subira Hamis Mgalu- Ametoka Muheza amehamishiwa Kisarawe
- 64 Jacqueline Jonathan Liana-Ametoka Magu amehamishiwa Nzega
0 comments:
Post a Comment