Akizungumza na wanahabari, Profesa Anna alisema: “Sioni sababu ya kujiuzulu kwa sababu mimi sio mtumishi wa wizara hiyo (Nishati na Madini), nilichopokea mimi ni msaada wala sijaona kitu kibaya zaidi ya kufurahia msaada huo ambao unasaidia shule ya watoto kike kama ninavyoomba na kupewa na watu wadau wengine kama Reginald Mengi.
PROFESA TIBAIJUKA: SINA SABABU YA KUJIUZULU
Akizungumza na wanahabari, Profesa Anna alisema: “Sioni sababu ya kujiuzulu kwa sababu mimi sio mtumishi wa wizara hiyo (Nishati na Madini), nilichopokea mimi ni msaada wala sijaona kitu kibaya zaidi ya kufurahia msaada huo ambao unasaidia shule ya watoto kike kama ninavyoomba na kupewa na watu wadau wengine kama Reginald Mengi.
0 comments:
Post a Comment