Mwanzo ilikuwa kitu cha kidogo na cha kawaida, Chad Hurley, Steve Chen na Jawed Karim hawakuwahi kuwa na ndoto kwamba kuna siku itakuwa ni kitu kikubwa ambayo dunia nzima itakiangalia.
Unaambiwa video ya kwanza kuwekwa kwenye Youtube ilikuwa ubora hafifu sana, ilikuwa kipisi cha video cha sekunde 18 tu, kinaitwa ‘Me at the Zoo’ ambapo alirekodiwa mmoja ya waanzilishi hao, Jawed Karim akiwa amesimama mbele ya tembo kwenye bustani ya wanyama.
Google waliinunua Youtube mwaka 2006 kwa dola bil. 1.65.
Channel ya Youtube imekuwa moja kati ya zile muhimu ambazo watu wamekuwa wakizitumia kuweka video mbalimbali ikiwemo wasanii kutumia kama jukwaa kubwa la kutangazia kazi zao, ina watumiaji zaidi ya bilioni moja duniani.
Hii ndio video ya kwanza kuwekwa Youtube.tarehe 23 april 2005
0 comments:
Post a Comment