Mapenzi ya Chris Brown na mpenzi wake Karrueche Tran
sasa yanaonekana kukua na kuimarika kadri siku zinavyokwenda na sasa
hata akili zao huenda zikafika mbali na kufikiria hata kufunga ndoa
.
Jana ilikua siku ya wapendanao duniani
na kila mtu kwa namna yake aliweza kusherehekea na watu au mtu ampendaye
kwa namna alivyotaka kufanya.
Kwa upande wa Chris Brown alimwandikia
mpenzi wake Karruaeche ujumbe wa kuonyesha anampenda huku akimshukuru
kwa kuonyesha kumjali zaidi.
“Happy Valentine’s Day beautiful…. I’m so thankful to have [a] soul that cares for me the way you do. Love you babe”
0 comments:
Post a Comment