HATIMAYE YANGA YAFIKA KILELENI

Mrisho Ngassa.
TIMU ya Yanga yenye makazi yake Jangwani jijini Dar es Salaam leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mechi hiyo imechezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku mabao yote mawili ya Yanga yakiwekwa kimiani na Mrisho Ngassa.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment