M Rap Lion muziki tangu shuleni
Rapa
M Rap Lion ameweka wazi kuwa amekuwa na historia nzuri kimuziki ambapo
kipindi cha nyuma akiwa shuleni alikuwa akiimba kwaya na kupiga ngoma na
pia sambamba na kufundishwa muziki kiasi.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini M Rap Lion
M
Rap amesema kuwa, alikuwa na uwezo mkubwa katika kupiga ngoma na
kujipatia umaarufu shuleni, na vilevile uwezo wa kuimba akiwa ameanza
kuonesha uwezo huu katika ngoma yake mpya.
0 comments:
Post a Comment