VIDEO MPYA YA BARNABA-WAHALADE
Barnaba na Mke wake wa ndoaBARNABA BOY aonyesha mfano wa kuigwa baada ya kufanya video na kumtumia mke wake kipenzi kama Video queen wake Video hiyo ilo tengenezwa na NICK DIZZO imekua ni moja kati ya video kali zilizo tengenezwa na directer huyo.Pia na wimbo huo umekua ukifanya vizuri sana katika vituo vingi vya Television hapa nnchini na hata nnje ya nchi..
0 comments:
Post a Comment