Sherehe za utoaji wa tuzo hizo za MTV zilifanyika Inglewood mjini Los Angeles, siku ya Jumapili na kuhudhuriwa na mastaa kibao.
Video ya Mwaka
Miley Cyrus: Wrecking Ball
Video Bora ya Hip Hop
Drake ft. Majid Jordan: Hold On (We’re Going Home)
Video Bora ya Msanii wa Kiume
Ed Sheeran ft. Pharrell Williams: Sing
Video Bora ya Msanii wa Kike
Katy Perry ft. Juicy J: Dark Horse
Video Bora ya Pop
Ariana Grande ft. Iggy Azalea: Problem
Video Bora ya Rock
Lorde: Royals
Msanii wa Kutazamwa
Fifth Harmony: Miss Movin’ On
Ushirikiano Bora
Beyoncé ft. Jay Z: Drunk In Love
MTV Clubland Award
Zedd ft. Hayley Williams: Stay the Night
Video Bora yenye Ujumbe kwa Jamii
Beyoncé: Pretty Hurts
Utengenezaji Bora wa Filamu
Beyoncé: Pretty Hurts
Uhariri Bora
Eminem: Rap God
Onyesho lenye Uchezaji wa Kisanii Bora
Sia: Chandelier
Uongozaji Bora
DJ Snake & Lil Jon: Turn Down For What
Uongozaji Bora wa Sanaa
Arcade Fire: Reflektor
Best Visual Effects
OK Go: The Writing’s On The Wall
0 comments:
Post a Comment