Chege Feat. Diamond Platnumz | Waache Waoane | Official Video

Moja kati ya nyimbo zisizo chosha kusikiliza ni hii mpya kutoka kwa mtoto wa TMK FAMILY Chege Chigunda akimshirikisha   Diamond Platnumz au unaweza kumwita SIMBA kutoka WCB nyimbo hii inayo kwenda kwa jina la WAACHE WAOANE. Ni nyimbo kali iliyo na ubunifu mkubwa kuanzia uandaaji wa audio uliofanyika katika studio za WASAFI RECORDS katika mikono ya Producer Laizer wa WCB na Video yake kuandaliwa chini ya usimamizi wa  JUSTIN CAMPOS

TAZAMA NA KU DOWNLOAD HAPA CHINI
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment