“Sasa hivi filamu kama za kunywa pombe au kuna matukio ya kumchukiza Mungu siwezi kufanya,” Majuto ameamesema
“Lakini ambazo zitakuwa hazima matukio kama hayo nitaendelea kufanya. Mimi sasa hivi ni Alhaj, natakiwa kuwa mfano kwa kumcha Mwenyezi Mungu pamoja na kuwafundisha watu kufanya mambo mema,” ameongeza.
0 comments:
Post a Comment