Hivi Ndivyo Picha za Ndoa ya Diamond na Zari Zilivyowachanganya Watu..Mpaka sasa Hakuna Uhakika wa Kama ni Kweli..Cheki na Hiii

Hapa chini nimekuletea Hisia Mbali Mbali zilizotolewa na watu baada ya picha za Diamond akionekana amemuoa zari...

Bongo5 Wameandika:
"Tunahisi hakuna ndoa, hakuna engagament. Okay, ngoja tukuamshe! Unakumbuka kuwa Zari atakuwa na show ya Ciroc Allwhite Party May 1, Mlimani City? Well, huenda picha hiyo ambayo wote wawili wanaonekana wakiwa kwenye mavazi meupe ikawa ilipigwa maalum kwaajili ya picha za promotion ya show hiyo"

Mtaa wa Pili Wameandika:

"poleni wale watu mlioshikwa kichwa na ladymadonna jamani bibi harusi walikuwa anabadilisha crown na hair style bila kubadilisha nguo hahahaha haya kama kweli wamfungua ndoa mbona hakuna picha za ndugu yyote wa karibu yao mfyuuuuu.jamani unapokwenda kufunga ndoa iwe kanisa au nyumba je unataka kiwa kuvua pete ya uchumba swali? nyumba ya picha za maharusi hawa fake kuna vichupa vya soda kibao ok labda walikuwa anasikia kiwi.kwaiyo harusi za siku hiziz bibi harusi ana kaa kweny kiti cha computer au office.tulaleni kesho nakuja na habari kamili ndoa my ass hahahahaha"

Dougiemasta Ameandika:
"kwan vip jamn mbona mmepanic afu mnaishia kusema sisi ndo tumepanic sasa u apanic kwa lipi kwa mfano kama ndoa ni kitu cha kawaida hata mbwa skuiz wanaowana swali je itadumu maana ndoa kifungo cha nje....babueee embu tupumzisheni mmekazana mala mimba mala ndoa kwa lipi kwa mfano mkituona tumekaa kimya jamn mtuache maana tushawaambia msimu wa ndimu bye bye skuiz tunaitaji complete package sasa mmezid kula ndimu na mlivyo wazee ndo mnazid kukaukiana hahahahah bibi masumbuko umechafua hali ya hewa kule don ivan katuma salamu eti anasema utafute pakukaa maana nyumba yake hautakiwi kuonekana na hapa bongo unaishi kwa visa mie tena nilivyo mbea nakuhesabia miezi tu ukizidisha naenda kukuchomea������ zari hana tofauti na wakimbizi yani haeleweki....jamn ila dai na bibi yake wanapenda sifa na kiki mpaka basi eti sometimes usiri unasaidia afu unaenda kufanya kazi na public person unategemea watu hatutojua raha ya muongo na wewe unamsapoti na uwongo wake ili atakapo umbuka unamcheka vizuri.....hongera babu eeeh kwakuoa maana ulikuwa unatamani sana ndoa hahahaha ila dai mimi yote tisha kumi hiyo Mimba hiv kwel kabisa ndo umeplan kuadapt mtoto inamaana yale maneno ya ww kutokuwa na kizazi kwel au����cz haiwezekani mimi hata staki kuamini mayai ulopewa yote umepikia chips maana mimba ya zari kiboko na akijifungua tu anytime soon basi ulikuwa unachepuka enzi ya madame hahahahajahahahajajaj we niwangu tuuu watuache tulale ��������mm leo nacheka tu afu BIBI MASUMBUKO UNA MASKIO MANGAPI MBONA UMEVAA HERENI 3 ����������HATARI LEO MM NACHEKA TU....sema maharusi Wangu wameendana jamn"


Kinglawrenc Ameandika:

Diamond's Biggest Mistake

Je wewe una Maoni Gani Juu ya Ndoa hiyo?
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment