Kufuatia kudondika kwa ukuta wa Nyumba ya Diamond Platnumz CRDB yamlipa Fidia

Diamond akipokea HUndi ya Malipo ya Fidia ya Numba yake

Nyumba ya Diamond ikiwa imedondoka sehemu ya ukuta wake
Na hichi ndicho alicho andika Diamond platnumz kupitia ukurasa wake wa Fasebook kuhusu kilicho tokea soma chini
" Hahahahaha ukiwa umekata Insuarance ya Makazi ya UAP kupitia CRDB BANK hupati presha kabisaaa... kipande cha Ukuta kimeanguka wiki iliyopita jana Nimechkua Mpunga wangu Kiulainiiii ukajengwe Upya, tena na Chenji ya kujiliwaza juu Hapa kama Mcharo Vile😎 ... Tatizo letu WaTanzania tunawazaga sana Kukata Insuarance za Magari tu halaf ya Nyumba na Vitu vingine tunasahau... Je leo Hii ningekuwa sijakatia Nyumba yangu Insuarance Ingekuwaje???? Na michambo ile ya Facebook si Mngenizika Mtoto wa Watu... Haya Mwambie Baba sasa akakate Mapema #CRDBBANK #UAP "
0 comments:
Post a Comment