Video: Tazama kionjo cha video mpya ya Shetta Feat. Kcee – Shikorobo

Ni saa chache zimebaki kabla hujapata nafasi ya kuiona na kuisikiliza kazi mpya ya Shetta ‘Shikorobo’ aliyomshirikisha rapper kutoka Nigeria Kcee, itakayotoka kesho March 25. Tazama kionjo kifupi cha video hiyo iliyoongozwa na Godfather na kufanyika nchini Afrika Kusini.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment