Profesa J ametangaza rasmi kuwa atagombea nafasi ya ubunge kwenye jimbo la Mikumi mkoani Morogoro.
Akiongea na 255 ya Clouds, rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule, amesema:
Unajua nimeamua kugombea jimbo la Mikumi kwa kuwa hapa ni
nyumbani. Wazazi wangu waliishi hapa kwa muda mrefu maana babu yangu
alihamia hapa kama miaka 58 iliyopita. Baba pia yupo hapa japo wao ni
watu wenye asili ya mkoa wa Ruvuma. Kwahiyo nimeona nimekuwa nikiimba
siasa sana naona huu ni muda wa kufanya vitendo zaidi.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment