Sanamu moja ya paka wa Misri,ambayo nusra itupiliwe mbali kama taka,imeuzwa nchini Uingereza kwa takriban dola 80,000.
Sanamu
hiyo ya shaba ,mara ya kwanza ilidhaniwa kama isio na thamani yoyote
ilipogunduliwa wakati wa usafishaji wa jumba moja katika mji wa kusini
magharibi wa Penzance.Lakini baada ya kukaguliwa na wataalam ,ilibainika kuwa halisi,ikiwa ni sanamu ya miaka 2,500 kutoka Misri.
0 comments:
Post a Comment