Vanessa Mdee ameungana na wasanii wengine wa Afrika Mashariki
wakiwemo Juliani wa Kenya, Emmanuel Jal wa Sudan na Syssi Managa wa
Congo Brazzaville kwenye wimbo wa kampeni maalum dhidi ya mauaji ya
tembo iitwayo, Ndovu Zetu.
Kuanzia kushoto: Syssi Managa, Emmanuel Jal, Vanessa Mdee na Juliani
Pia wasanii hao pamoja na kundi la Sauti Sol walitumbuiza kwenye
Ndovu Zetu Concert kwenye viwanja vya burudani vya umoja wa mataifa
jijini Nairobi.
Wasanii hao walishoot video ya wimbo unaohamasisha ulindaji wa wanyama husasan tembo. Wimbo huo unaitwa Tusimame.
Home / Bongo yetu /
Photo /
Utaipenda
/ Picha: Vanessa Mdee ashiriki kwenye wimbo wa kampeni dhidi ya mauaji ya tembo Afrika Mashariki
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment