Joti awavutia P-SQUARE kwa kipaji chake

P-Square wanaweza kumtafuta Joti siku yoyote kuanzia mwaka huu.
10706768_604579962986110_647496559_n
Hiyo ni baada ya mmoja wa mapacha hao maarufu zaidi Afrika, Paul Okoye kupost kipande kifupi cha Joti akicheza wimbo wa Koffie Olomide kwa style iliyomvutia.
Paul ameipata video hiyo kutoka kwenye akaunti ya Instagram iitwayo ‘Nigeriagirlskillingit’.
Square
“Hahahahahaha i can’t wait for psquare to start dancing like this,” ameandika Paul na kuambatisha na emoji zinazocheka hadi machozi.
Kwa utani utani hivyo Joti anaweza kuwa amejipatia mashabiki wapya kutoka Nigeria.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment