New Music: Bushoke Ft Mr Blue & Dully Sykes – Angel
Wimbo mpya kutoka kwa Bushoke akiwashirikisha Mr.Blue na Dully Sykes huu ni wazawadi kwa mashabiki tu ila hivi karibuni atawaletea wimbo rasmi. wimbo umefanyika katika studio za 4:12 wimbo unaitwa “Angel”sikiliza na download hapa chini
0 comments:
Post a Comment