DUDE: AKILI YANGU MBOVU NDIYO MAANA SIOI

STAA wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba, amesema licha ya kuishi na mzazi mwenzie kwa zaidi ya miaka kumi, anashindwa kuoa kwa sababu akili yake siyo nzuri.Akipiga stori mbili tatu na mwanahabari wetu, Dude alisema linapokuja suala la kulaumiwa kuchelewa kuoa, anastahili kwani hakuna kitu kinachomsababisha asioe zaidi ya akili yake kuwa mbovu.

“Mimi akili yangu tu bwana ndiyo mbovu, hakuna kitu cha ziada ninachoweza kujitetea, kama kuona ningeoa siku nyingi sana, nashindwa basi tu,” alisema Dude.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment