Harry Kane aliendelea kuimarika
baada ya kuifunga Arsenal mabao mawili huku Tottenham ikitoka nyuma na
kuibuka kidedea kwa mabao 2-1 katika mechi ya London Derby.
Baadaye alifunga kichwa kizuri katika dakika ya 86 na kuiweka Spurs juu ya Gunners katika jedwali la ligi ya Uingereza .
Mesut Ozil aliiweka Arsenal kifua mbele katika kipindi cha kwanza laki mshambulizi yasio koma ya Tottenham katika ngome ya Arsenal yalizaa matunda na kuiweka Tottenham kuibuka kidedea.
0 comments:
Post a Comment