isikilize hapo chini pia unaweza kudownload
DIAMOND TENA, NI COLABO YA NGUVU KUTOKA NIGERIA DOWNLOAD HAPA
Hi ni nafasi nzurii kwa mtanzania Diamond baada ya kuendelea kufanya vyema katika muziki na kuendelea vizuri katika soko la muziki kwa afrika na dunia . Diamond plutnumz ameweza kujinyakulia tuzo nyingi kutokana na kazi nzuri anazo fanya na pia kujizolea umaarufu mkubwa Dunia Hii ni kazi nyingine mpya ya BRACKET kutoka Nigeria inayo fahamika kwa jina la A live ,Diamond ameshirikishwa na kufanya vyema sanaaa pia katika wimbo huu mwanadada Tiwa Savage ameshirikishwa
isikilize hapo chini pia unaweza kudownload
isikilize hapo chini pia unaweza kudownload
0 comments:
Post a Comment