Mwanamuziki Mkubwa Duniani Elton John & David Furnish Wafunga Ndoa
Wamevunja Ukimwa Huo Kwa Kudhihirishia Dunia Kwa Kufunga Ndoa Na Kualika Watu Washuhudie Kwa Kutoa Mialiko Maaalumu Watu Ambao Wamehudhuria Harusi Hiyo Ni Marafiki,Familia Na Mastaa
Moja ya Master walioshiriki katika ndoa hiyoo ni David Beckham pamoja na Familia yako
Pia alikupo mwimbaji,mwandishi na mpiga gita maarufu anaye fahamika kwa jina la Ed Sheeran
Ed Sheeran akiwa katika gari lake akiwasili katika sherehe hizo
David Walliams na Lara Stone wakiwasili katika sherehe hiyo
Viatu Vya Maharusi |
Wahudhuriaji |
Cake Ina Alfabeti Za Maharusi Yaani Elton John Na David |
Maharusi Wameshikana Mikono |
0 comments:
Post a Comment