DIAMOND PLATNUMZ KUWANIA TUZO ZA IRAWMA -NCHINI AMERICA

Msani wa kizazi kipya Nasib Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz kutoka nnchini Tanzania anae Tamba sanaaa kwa sasa Afrika na Duniani akiwa na nyimbo kibao zilizo fanya vizuri akiwa na nyimbo mbili zinazo fanya vizuri kwa sasa Mdogo mdogo pamoja na bum bum aliyo mshirikisha Iyanya kutoka Nigeria
 Kwa mara nyingine Diamond platnumz afanikiwa kuwania tuzo ya Nyimbo bora Ya Africa katika tunzo za IRAWMA kupitia nyimbo yake ya Mdogo Mdogo, nyimbo yenye  miondoko ya kiafrika


''Nashkuru sana Shabiki zangu pendwa.. Naamini support yenu ndio imefanya nyimbo hii ya Mdogo Mdogo kuchaguliwa kuwania kuwa Nyimbo bora Ya Africa katika tunzo za IRAWMA nchini America...na namini huu ni mwanzo tu! NOW LET THE VOTING GAME BEGIN!!!'' hivo ndivyo alivo andika Diamond Platnumz katika ukurasa wake wa Facebook huku akiwaomba watanzania na mashabiki wake kumpigia kura ilikuweza kunyakua Tuzo hiyo na kuileta Nyumbani Tanzania


FUATA LINK HIII KUMPIGIA KURA DIAMOND PLATNUMZ NA WIMBO WAKE WA MDOGO MDOGO---http://irawma.com/irawma_vote2014
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment