STAA wa mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem
Thabeet ameuzwa na klabu yake ya Oklahoma City Thunder kwenda
Philadelphia 76ers.
Uhamisho huo umefanyika jana Jumanne japo kuna madai kuwa staa huyo
huenda asikae sana katika timu hiyo na kwamba atauzwa hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment