Di Maria (kushoto nyuma) katika gari akipelekwa uwanja wa mazoezi wa Manchester United uitwao Carrington usiku wa kuamkia leo.
Mchezaji aliyetoka Real Madrid, Angel Di Maria.
MANCHESTER UNITED inatarajiwa kumtambulisha winga
wake mpya leo kutoka Real Madrid, Angel Di Maria aliyetua klabuni hapo
usiku wa kuamkia leo kwa pauni milioni 59.7.
0 comments:
Post a Comment