BONGO MOVIE YAANZA KUMEGUKA

YAMETIMIA! Kundi lililojipatia umaarufu mkubwa la wasanii na waigizaji la Bongo Movie Unity, limeanza kumeguka baada ya Katibu wake, William Mtitu kujiuzulu nafasi hiyo, akimtuhumu kiongozi wao kuwatumia kisiasa.
Katibu wa Bongo Muvi, William Mtitu.
“Nimechoka kutumiwa kisiasa bila ridhaa yangu, kisingizio Bongo muvi,  hiyo kitu hakuna kama kuna mtu au chama kinahitaji kututumia wasanii au kuitumia Bongo muvi basi unatakiwa uwazi…

DEVOTA AWAKUMBUKA MZEE SMALL, KUAMBIANA

Posted by GLOBAL on August 20, 2014 at 7:01am 0 Comments
Stori: Rhoda Josiah
WAKATI wasanii mbalimbali wakijumuika pamoja katika kisomo cha kuwakumbuka marehemu kilichotayarishwa na Bongo Movie jijini Dar juzikati, mdada anayefanya poa kwenye anga la filamu, Devota Mbaga, amejikuta kwenye simanzi nzito akiwakumbuka Mzee Small na Adam Kuambiana, akisema walikuwa watu wake wa karibu aliotoka nao mbali.
Mdada anayefanya poa kwenye anga la filamu, Devota Mbaga.
“Siku ya leo ni kumbukumbu ya pigo zito kwangu, maana nikimzungumzia Kuambiana, nilijuana…
Stori: Rhoda Josiah
WAKATI wasanii mbalimbali wakijumuika pamoja katika kisomo cha kuwakumbuka marehemu kilichotayarishwa na Bongo Movie jijini Dar juzikati, mdada anayefanya poa kwenye anga la filamu, Devota Mbaga, amejikuta kwenye simanzi nzito akiwakumbuka Mzee Small na Adam Kuambiana, akisema walikuwa watu wake wa karibu aliotoka nao mbali.
Mdada anayefanya poa kwenye anga la filamu, Devota Mbaga.
“Siku ya leo ni kumbukumbu ya pigo zito kwangu, maana nikimzungumzia Kuambiana, nilijuana naye kitambo sana kabla hata mambo ya vyama hayapo, Mzee Small alikuwa mtu muhimu sana kwangu hata alipoanza kuugua nilikuwa naye bega kwa bega nikimsaidia, wapumzike kwa amani kwa kweli,”alisema Devota.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment