STAA wa Mchezo wa Bongo Dar es Salaam, Kulwa Kikumba
‘Dude’ ameibuka na kuwataka wasanii wenzake kuepuka michepuko akidai
wengi wao wanaiendekeza
Msanii Kulwa Kikumba 'Dude' akiwa ndani ya ofisi za Global Tv Online.
Akizungumza na paparazi , Dude alisema michepuko ndiyo chanzo cha
magonjwa na tasnia nzima ya filamu kuonekana haina maana hivyo ni vyema
wasanii wakabadilika kwa kuiga mfano wake.
“Mimi kila ninapokwenda utaniona nipo na mke wangu lakini wasanii
wengi wamekuwa wazito kutembea na wake zao kwa kuhofia michepuko kibao
waliyonayo, wabadilike,” alisema Dude.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment