Mugabe atania kumuoa Obama kufwatia Marekani kuhalalisha ndoa za Jinsia moja

hahahaha! hii  kali ya karne Rais Robert Mugabe wa zimbabwe ametangaza nia ya kumuoa rais barack obama wa marekani,amesema yupo tayari kupeleka posa white house hayo yamejiri baada ya serikali ya Marekani iliyo chini ya Raisi wake Bwana Barack Obama kupitisha sheria ya ndoa ya jinsia moja nchini marekani,mzee huyu Robert Mugabe amesema hayo kutania na kumfanya Obama apate wakati mgumu na kuona ni jinsi gani nchi yake imechukua maamuzi magumu na yasiso na maaana katika maadili  hichi ndicho alicho kisema Mugabe katika mahojiano na kituo cha radio cha nchini kwake  ZBC radio station  “I’ve just concluded since President Obama endorses the same-sex marriage, advocates homosexual people and enjoys an attractive countenance thus if it becomes necessary , I shall travel to Washington DC, get down on my knee, and ask his hand,”  alisema
 
 Moja ya picha zilizo zagaa kutokana na kauli ya Raisi wa Zimbabwe Mh Mugabe  ikimhusu OBAMA
Moja ya picha zilizo zagaa kutokana na kauli ya Raisi wa Zimbabwe Mh Mugabe  ikimhusu OBAMA
Rais wa  Mozambique  bwana Armando Guebuza

wakati huo yanafanyika mambo hayo Mozambique ime sign kukubali kupitisha kuruhusu ndoa za jinsia moja wakati halii hii imekua ikipigwa vita na nchi nyingi za Afrika hii ni tukio la kusikitisha sana kwa nchi za afrika kukubaliana na mambo ya kusikitisha  kama haya
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment