Show hiyo imepewa jina la Party In The Park – SA Invasion ambapo pamoja na wasanii hao, kundi la nchini Kenya, Sauti Sol nalo litakuwepo kutumbuiza.
Wasanii wengine ni pamoja na Black Motion, Zaki Ibrahim Beatenberg Xoli na Michael Djvoodoosa Darcio.
0 comments:
Post a Comment