Producer na member wa kundi la Navy Kenzo, Nahreel, amedai kuwa kazi ya kutayarisha muziki ndio inayomlipa zaidi kuliko kuimba.
Nahreal ameimbia Bongo5 kuwa ingawa pia muziki unaonyesha dalili
njema za kuzaa matunda, bado utayarishaji wa muziki ndio unaomwekea
ugali mezani.
“Kiukweli toka mwaka jana mambo yanaenda vizuri sana sio kwenye
kuproduce tu, hata muziki hali sio mbaya, zinafanya vizuri,” amesema.
“Lakini kwa sasa nikiwa kama producer inanilipa zaidi sio hapa tu
hata kimataifa nimepata mwaliko wa kwenda Coke Studio kama producer
kwahiyo unaona ni jinsi gani tayari watu wameelewa kazi zangu,”
Home / Bongo yetu /
isikupite /
Ma Star wetu /
Music
/ Nahreal: Naingiza mkwanja mwingi kwenye kutengeneza ngoma kuliko kuimba
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment