Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
alipokwenda kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga
Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John
Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba
jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
alipokwenda yeye na Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia
ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM
Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu
Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo walipokwenda kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete wakimfariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete wakiwafariji wasanii wa Tanzania One Theatre kufuatia kifo cha kiongozi wao, Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015
0 comments:
Post a Comment