Breaking
News:Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapt. John Komba amefariki dunia leo
saa 10 jioni katika hospitali ya TMJ Dar es Salaam. #TANZIA Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapt. John Komba amefariki dunia leo saa 10 jioni katika hospitali ya TMJ DSM kwa tatizo la Kisukari.
Habari zaidi zitawaijia tutakavyo kuwa tunazipokea. May his soul R.I.P
0 comments:
Post a Comment