Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa
Polisi DAVID MISIME – SACP amesema kama alivyotoa taarifa juzi tarehe
04/02/2015 kuhusiana na kuawa kwa Askari Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK
SWAI huko Chang’ombe ya juu mkoani Dodoma na mtu aliyefahamika kwa jina
la TISSI S/O SIRIL MALYA.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dododoma lilianza msako wa kumtafuta mtuhumiwa huyo baada ya kufanya kitendo hicho cha kinyama cha kumkata kata kwa panga kichwani na mikononi askari huyo.
Kamanda MISIME amesema majira ya saa 23:00hrs usiku wananchi walimuona maeneo ya Mti Mkavu Mailimbili mkoani Dodoma akiwa bado na lile panga alilotumia kumuua askari.
Hata hivyo walichukua sheria mkononi na kumshambulia sehemu mbalimbali za mwili wake, Polisi walifika eneo la tukio na kumchukua kisha kumkimbiza Hospitali ya Mkoa lakini daktari akagundua ameshafariki.
Aidha Kamanda MISIME amesema mtuhumiwa huyo katika kumbukumbu tulizonazo ni kwamba mwaka 2006 aliwahi kufungwa miaka mitatu (3) kwa kosa la kujeruhi, Pia mwaka 2009 alifungwa tena miezi sita (6) kwa kosa la kutishia kuua.
Ametoa pongezi kwa wananchi kwa kuonyesha kuchukizwa na kitendo alichomtendea askari wetu lakini waache kujichukulia sheria mkononi.
Pia ametoa wito kwa wananchi waanze kuchukua hatua kurekebisha maadili kuanzia ngazi ya familia kwani imeelezwa kuwa mtuhumiwa alikuwa ni mvutaji bangi kiasi kwamba ilimfanya awe anafanya vitendo ambavyo ni kinyume na maadili na sheria za nchi.
TASWIRA ZA VURUGU ZA MASHABIKI WAKATI WA MECHI YA NUSU FAINALI AFCON KATI YA GHANA NA EQUATORIAL GUINEA
Posted by GLOBAL on February 6, 2015 at 10:00am
0 Comments
0 Likes
Hadithi za Shigongo
Forum
ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?
naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko
la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa
vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu
mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…
JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?
JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO
HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha
kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka
tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri
KUTOA…
MIUNDO MBINU TANZANIA
Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili
jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi
barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je,
hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…
OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU
Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi
anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa
kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k
yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…
Tags: OkwiTETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA
Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais
Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri.
Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali
watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji. Waliotupwa…
Tags: SIASAPOLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?
Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na
mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na
wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar
kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…
Tags: VURUGUKIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?
Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by lee chong wei Dec 28, 2014.
31 Replies
3 Likes
Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa
sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya,
Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!
Tags: katiba, siasaJUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?
Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…
TOP NEWS WEEK HII
Latest Activity
- Top News
- Everything
0 comments:
Post a Comment