IVORY COAST YASHINDA FINAL GHANA WASHINDWA KUTAMBA KATIKA MATUTA

GHANA 8-9 IVORY COAST
Mpira wa Final kati ya Ghana na Ivory Coast, Dakika 90 zilimalizika wakati ikiwa hakuna hata timu moja iliyo ona lango la mwenzake na kuingia katika dakika za nyongeza kukamilisha dakika 120 hali ikiwa ni ile ile yani ngoma droo.
Hapo ndipo refa aliamuru kuwa timu hizo zijipange na kujipima katika matuta ama mikwaju ya penati ambapo hapo Ghana ilikubali kunyong'onyea na kushindwa kuwadhibiti Tembo hao wa Afrika Ghana iliweka nyavuni penati 8 tuu wakati Ivory coast waliweka nyavuni penart 9 zilizo wasababishia kunyakua ushindi huo na kutawadhwa kua washindi wa kombe la mataifa ya Africa yanii Africom

Katika purukushani za kuusaka ushindi 

Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment