AMBER ROSE & D'BANJ WAJUMUIKA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA MUZIKI WA D' BANJ



 

 D'Banj akifurahia jambo na Amber wakati wa sherehe hizo.
MWANAMUZIKI mahiri wa Nigeria, D'banj jana amesherehekea kuadhimisha miaka 10 katika muziki ambapo sherehe hizo ziliongozwa na mwigizaji na mwanamitindo maarufu kutoka nchini Marekani, Amber Rose.



Video ya mahojiano ya D'Banj na HipTV kuhusu maadhimisho hayo na kwa nini alimchagua Amber Rose kuongoza sherehe.

Mastaa mbalimbali wakiwemo Ice Prince, Kayswitch, Seyi Law, Orezi, Toke Makinwa na wengineo walihudhuria sherehe hizo zilizofanyika Ocean View jijini Lagos, Nigeria jana.

(Picha na Habari kwa Hisani ya Pulse)

 
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment