USIKU WA DIAMOND PLATNUMZ WAFANA MJINI DODOMA

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya makamuzi ya nguvu usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge, Area D mkoani Dodoma kwenye Usiku wa Diamond Platnumz.
Diamond akiwadatisha mashabiki wake waliofurika kwa ajili ya Usiku wa Diamond Platnumz.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na burudani kutoka kwa Diamond.
...Diamond akisema na mashabiki wake ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge, Area D mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment