ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KATIKA VITUO VYA UMEME VYA MBAGALA, G/MBOTO NA KINYEREZI

Waandishi wakiwasili kituo cha kupoza umeme Mbagala wakipokewa na Meneja Miradi Mhandisi Emmanuel Marirabona,(wa tatu kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba,(kushoto) na Meneja Miradi-Ufuaji Umeme, Mhandisi Simon Jilima,(wa pili kushoto).
Transfoma ya kuchuja nguvu za umeme iliyopo Mbagala.
Wafanyakazi wakiendelea na kazi katika kituo cha Mbagala.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco,Felchesmi Mramba,(kulia) na Meneja Miradi Emmanuel Marirabona.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assah Mwambene (kulia) akizungumza na waandishi dhamira ya kutembelea vituo vya kuzalisha Umeme Jijini Dar es Salaam akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco,felchesmi Mramba.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment