WAFANYAKAZI HOTELI YA BLUE PEARL WAWEKA KAMBI NJE

Wafanyakazi wa hoteli hiyo wakiwa nje siku ya pili baada ya kufungwa
…Wakishauriana kuhusu mafao yao.
Lango kuu likiwa limefungwa.
Sura za huzuni katika nyuzo za wafanyakazi hao waliotaka kuonana na uongozi unaohusika.  
IKIWA ni siku ya pili toka kufungwa kwa Hoteli ya Blue Pearl iliyopo katika jengo la Ubungo Plaza ya Jijini Dar, leo hii kamera ya GPL imewashuhudia wafanyakazi wakiwa wameweka kambi huku madai yao makubwa yakiwa ni kutaka kujua hatima yao.
Aidha kufungwa kwa hoteli hiyo hakutokani na mgogoro wao na mwajiri bali ni baina ya mwajiri wao na wamiliki wa Majengo, hivyo wameitaka Serikali kuingilia kati ili kujua hatma ya maisha yao.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment