TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep. 24, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Ahmed Shabiby wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizunguma na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Margaret Sitta,kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Esther Juma (Wanne kushoto ) na Mabinti wa mbunge huyo, Nandoye Laban (kushoto), Imani Laban (wapili kushoto) na Lulu Laban (watatu kushoto) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Wapili kulia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Margaret Sitta.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment