Wafanyakazi wa kampuni ya Airtel
Tanzania (kutoka kushoto), Kema Mabango, Abdallah Gunda na Jackson
Mmbando wakishiriki katika shindano la kukuna nazi wakati wa Siku ya
Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni
jijini Dar es salaam jana.
Washindi wa shindano la kukuna nazi wakishow love. Kutoka(kushoto), Mshindi wa Kwanza, Abdallah Gunda, Mshindi wa Pili, JacksonMmbando na Mshindi wa Tatu, Kema Mabango.
Watoto wa wafanyakazi wa
kampuni ya Airtel Tanzania wakiogelea wakati wa Siku ya Wanafamilia ya
Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es
salaam jana.
Watoto wa wafanyakazi wa
kampuni ya Airtel Tanzania wakishiriki katika michezo wakati wa Siku
ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City
Kigamboni jijini Dar es salaam jana.
Wafanyakazi wa Airtel na familia zao wakijisevia maakuli.
Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki (kulia) akiwahudumia chakula wafanyakazi wa Airtel na familia zao.
0 comments:
Post a Comment