KINANA AWATAKA WALIOSABABISHA HASARA KUFUNGWA KIWANDA CHA CHAI MPONDE, BUMBURI WAWAJIBISHWE HARAKA‏

 Katibu Mkuu wa CCM, akiwapungia wananchi mikono alipowasili kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Mponde, Jimbo la Bunburi, ambapo aliwahakikishia wananchi kulitafutia ufumbuzi tatizo la kufungwa kwa kiwanda cha chai cha Mponde wilayani Lushoto,Mkoani Tanga. Kinana aliwataka viongozi wote wa CCM na Serikali waliohusika kufungwa kwa kiwanda hicho na kuwasababishia adha wananchi kuwajibika wenyewe au kuwajibishwa.
 Katibu Mkuu wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Mponde.
 Kinana akihutubia katika mkutano huo.
 Kinana akikagua shamba la chai lililoachwa kutuinzwa baada ya kiwanda cha chai cha Mponde kufungwa tangu mwaka jana.
 Kinana (kulia akiwa na Mbunge wa Jimbo la Bumburi, January Makamba na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Lushoto, Balozi Abdi Mshangama wakiangalia jinsi chai ilivyoharibika baada ya kiwanda kufungwa.
 Diwani wa Kata ya Guga, Richard Mbughuni akitolewa na askari baada ya wananchi wa Bumburi kumwambia Kinana aomtoe katika mkutano huo wa hadhara, wakidai ndiye mmojawapo wa waliosababisha kiwanda hicho kifungwa mwaka jana.
  Diwani wa Kata ya Guga, Richard Mbughuni akitolewa na Katibu Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye baadsa ya wananchi wa Bumburi kumwambia Kinana aondoke katika mkutano huo wa hadhara, wakidai ndiye mmojawapo wa waliosababisha kiwanda hicho kifungwa mwaka jana.
 Wananchi wakishangilia wakati Kinana akiwasili kwenye mkutano huo.
 Kinana akijadiliana jambo na Nape pamoja na January Makamba mbunge wa jimbo hilo la Bumburi.
 Mbunge wa Jimbo la Bumburi, Jamuary Makamba, akihutubia katika mkutano wa hadhara na kumuomba Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana asaidie kutafuta suluhu ya kufungwa kwa kiwanda hicho.
 January Makamba akihutubia katika mkutano huo ambapo aliwaomba msamaha wanachi kwa kuendelea kuteseka kwa kufungwa kiwanda hicho.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Ufutiaji kuhusu mgogoro wa kufungwa kwa kiwanda hicho muhimu.
 Kinana akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia katika mkutano huo.
 Makamba akielezea historia ya jengo la chama katika Kijiji cha Mbuzii lililokuwa linatumiwa na viongozi wa TANU enzi za ukoloni wakati wakiwa katika harakati ya kutaka kutaka kuanzisha chama hicho na uhuru wa Tanganyika.
 Kinana akihutubia kabla ya kushiriki ujenzi wa Kata ya Mbuzii, Lushoto Tanga.
 Kinana akishiriki ujenzi jengo la CCM tawi la Mbuzii huku akisaidiwa na Mbunge wa Jimbo la Bumburi, January Makamba.
 Kinana na Makamba wakikagua jengo hilo hilo la zamani linalokarabatiwa na wananchama wa chama hicho.
 Kinana akimpabidhi nyaraka Kiongozi wa waendesha pikipiki.
 Kinana akiwa amepanda pikipiki katika Mji wa Bumburi.
 KINANA AKIMWANGALIA MBUNGE WA BUMBURI, JANUARY AKIWA AMEPAKIWA KWENYE PIKIPIKI ILI AWAHI KWENYE.
 Mkuu wa Wilaya ya Lushoto, akiendesha pikipiki kuelekea Kata ya Dule ambako Kinana alizindua kikundi cha wajasiriamali cha Maisha Pluis Jimbo la Bumburi, Lushoto.
 Makamba akimtambulisho Nape.
Share on Google Plus

About ahmed

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment